A Dance in Fire

HOYO-MiX
Album : 원신-불꽃이 뒤얽히는 벌판 (Original Game Soundtrack)
Nyimbo za moto
Ziwache ziwake angani
Kama vile moto usiozimika waenea nchini
Nenda mbele kwa ujabari
Ijapokua hata
Majivu ya motoni
Tena
Chagua njia ya mwenyewe
Moto daima utawaka
Moto daima utawaka
Na uso wa ulimwengu
Utajitokeza haponi
Na moto utakuwakia
Na moto utakuwakia
Na moto utakuwakia

Related lyrics

Singer Song title
HOYO-MiX Interstellar Journey (Feat. Lea Sirk)
HOYO-MiX Rhapsodia Roscida
HOYO-MiX Polumnia Omnia
HOYO-MiX Da Capo
HOYO-MiX Parousia Diluvi
HOYO-MiX Se mettre sur son trente-et-un !
HOYO-MiX 출발하기 전에
HOYO-MiX No Ceiling
HOYO-MiX 잔물결 La vaguelette
HOYO-MiX The Rime of the Ancient Bargeman




Comment List

No comments available.